Website Design & Development — Tanzania

Tunatengeneza Website
Zinazokuza Biashara Yako.

Kutoka landing page rahisi hadi tovuti kamili za e-commerce — Calypso Digital inakusaidia kuonekana mtandaoni kwa mtindo wa kisasa, wa haraka, na unaofanya kazi kwenye simu.

100%
Mobile Friendly
4
Aina za Website
24/7
After-Sales Support
Calypso Digital preview
Services & Pricing

Huduma Zetu

Chagua kifurushi kinachoendana na mahitaji na bajeti ya biashara yako.

Landing Page

150K–200KTZS
Ukurasa mmoja wenye taarifa za biashara, huduma, na mawasiliano ya haraka.
Ukurasa 1
Kwa nani: Unaoanza biashara, unahitaji uwepo wa haraka mtandaoni.

Premium Website

500K–600KTZS
Design ya kipekee, animations, na uzoefu wa hali ya juu kwa brand yako.
Kurasa 4–6
Kwa nani: Brand inayotaka kuonekana ya hali ya juu na ya kipekee.

E-commerce Website

900K–1.1MTZS
Duka mtandaoni kamili lenye malipo (M-Pesa/Tigo Pesa/Card) na usimamizi wa stock.
Kurasa 6+ na duka
Kwa nani: Unauza bidhaa nyingi, unataka mteja alipe moja kwa moja mtandaoni.
Kwa Nini Calypso Digital

Tunachokutolea

✓

Modern & Responsive Design

Muundo wa kisasa unaofanya kazi vizuri kwenye kompyuta na simu.

✓

Mobile Friendly

Wateja wako wengi watatembelea kwa simu — tunahakikisha inafanya kazi kikamilifu.

✓

Fast Loading Websites

Kasi ya kupakia inayowafanya wateja wasubiri kidogo iwezekanavyo.

✓

SEO Ready

Muundo unaoruhusu website yako kuonekana kwenye utafutaji wa Google.

✓

WhatsApp Integration

Wateja wanawasiliana nawe moja kwa moja bila hatua za ziada.

✓

After-Sales Support

Msaada unaoendelea baada ya website yako kuwa live.

Calypso Digital
Kuhusu Sisi

Nyuma ya Calypso Digital

Calypso Digital ilianzishwa na Calypso kwa lengo moja rahisi: kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania kuwa na uwepo mzuri mtandaoni bila gharama za kutisha za makampuni makubwa.

Kuanzia landing page ya kwanza hadi duka kamili la mtandaoni, kila mradi unashughulikiwa moja kwa moja na mimi — hivyo unapata mawasiliano ya haraka, kazi ya makini, na msaada unaoendelea baada ya website yako kuwa live.

— Calypso, Mwanzilishi
Mchakato

Jinsi Inavyofanya Kazi

1

Unaniambia

Unachotaka — biashara, rangi, na taarifa za mawasiliano.

2

Ninatengeneza

Website yako kamili, tayari kuonwa ndani ya siku chache.

3

Marekebisho

Unaangalia na kunipa maoni — narekebisha bila malipo ya ziada.

4

Inapelekwa Mtandaoni

Website yako inakuwa live na domain yako mwenyewe.

Kazi Zetu

Miradi Halisi ya Wateja

Website halisi tulizowajengea wateja wetu.

S

Sashaz Events

Matukio & Harusi

Mamy's Products & Bukhoor

Bidhaa & Bukhoor

Trend Corner

Saa, Miwani, Wallet & Perfume

FreshTouch

Bidhaa za Usafi wa Nyumbani

Taarifa Muhimu

Blogu ya Habari
Mamy's Receipt

Mamy's Receipt

App ya Risiti za Kidijitali
Angalia Kazi Zote
Huduma za Ziada

Matengenezo & Add-ons

Update, kurasa mpya, SEO, hosting na zaidi — angalia bei kamili na masharti ya malipo.

Angalia Bei & Masharti
Maswali ya Kawaida

FAQ

Q. Website yangu itakamilika ndani ya muda gani?

Inategemea aina ya website — Landing Page siku 1-3, Business Website hadi wiki moja, na Premium/E-commerce zinachukua muda zaidi kutegemea uzito wa kazi.

Q. Je, domain na hosting vinajumuishwa kwenye bei?

Hapana — bei ya website ni kwa ajili ya design na development tu. Domain na hosting ni huduma za ziada (angalia "Additional Services") na hulipiwa tofauti.

Q. Naweza kubadilisha mawazo baada ya kuanza kazi?

Ndiyo, marekebisho ya kawaida ni sehemu ya mchakato bila malipo ya ziada. Mabadiliko makubwa ya muundo baada ya kukamilika yanaweza kuhitaji malipo ya ziada kulingana na uzito wake.

Q. Nitapata msaada gani baada ya website kuwa live?

Unapata after-sales support kwa masuala madogo. Kwa mabadiliko ya kuendelea (bei, picha, maandishi), tunapendekeza kifurushi cha Monthly Maintenance.

Wasiliana Nasi

Tuko Tayari Kukujengea Website Yako.

Tuma ujumbe WhatsApp sasa kupata ushauri wa bure na bei kamili kwa mradi wako.

Wasiliana WhatsApp
Simu / WhatsApp
0748 077 074
Huduma
Tanzania Nzima
Chagua Mtindo wa Rangi
Shaba (asili)
Bluu & Fedha
Kijani & Dhahabu
Mvinyo & Waridi
Mkaa & Dhahabu